Changia Kuendeleza Vipaji na Akademi za Vijana

1

Kwa TZS 100,000 mchango wako unasaidia kufadhili programu za mafunzo na akademi zinazokuza vipaji vya vijana kwa muda mrefu.

Description

Zaidi ya mashindano, tunalenga kuendeleza vipaji vya vijana kupitia akademi na semina za ujasiriamali. Mchango huu unaenda moja kwa moja kusaidia gharama za makocha, vifaa vya mafunzo, na ufuatiliaji wa vipaji baada ya mashindano.
Kupitia msaada wako, tunatengeneza msingi wa Taifa Stars na wachezaji wanaoweza kushiriki mashindano ya Afrika na Kombe la Dunia siku za usoni.