Jukwaa La Michezo

Tunatumia michezo katika kutatua changamoto mbalimbali za kijamii.

Magonjwa Yasiyo Ambukiza

Tunahamasisha watanzania kufanya mazoezi,maana mazoezi ni tiba kwa magonjwa mbalimbali yasiyo ambukiza.

Ajira

Tunatumia michezo kama jukwaa la kukutanisha vijana na kuvumbua vipawa na kalama mbalimbali ili waweze kunufaika na vipawa vyao na kupata ajira na kuweza kupunguza tatizo la ajira nchini.

Madawa Ya Kulevya

Tunatumia michezo kupambana na tatizo la matumizi ya madawa ya kulevya.Asilimia kubwa ya watumiaji wa madawa ya kulevya ni vijana na ndio watuhumiwa wakubwa wa mambo mengi kama vile wizi na ubakaji.Kupitia michezo tunawakutanisha vijana kwa pamoja na kuwapa elimu ya madhara ya matumizi ya madawa yakulevya.Ili kupunguza tatizo hili hapa nchini.

Utalii

Tunatumia michezo kama nyenzo ya kuhamasisha utalii nchini ili kuongeza pato la taifa.

AFCON2027

Tuna hamasisha maandalizi ya mapema kuelekea katika michuano ya AFCON ya mwaka 2027 itakayofanyika Tanzania,Kenya na Uganda.Ili timu yetu ya taifa(Taifa Stars) iweze kufanya vizuri katika michuano hiyo.

Mkurugenzi Wetu

Maelezo kutoka kwa mkurugenzi na mwanzilishi wa taasisi ya Arusha Ndondo Cup

Mashindano Ya Hivi karibuni

The Best Yoga Studio

Donec molestie nisi iaculis sodales mollis. Nullam non tellus sed elit pulvinar digniut vel ex. Phasellus at leo sed est egestas posuere eu eget magna.
Donec eleifend, nisi ac aliquet tincidunt

– Victoria Ross

Wadau Wetu

Hawa ni baadhi ya wadau mbalimbali wanao tusaidia katika shughuli zetu mbalimbali tunazo zifanya.

Subscribe to Our Newsletter

Proin eget tortor risus cras ultricies ligula sed magna dictum porta sed porttitor lectus nibh vamus suscipit tortor

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.
Anza maongezi
1
💬 Unahitaji msaada?
Habari!
Tunaweza kukusaidia?