Description
Mashindano ya Ndondo Cup hayafanyiki bila maandalizi ya kitaalamu. Mchango huu unagharamia gharama muhimu kama uwanja, waamuzi, vifaa vya sauti, matangazo na uratibu wa timu.
Kwa mchango huu, unahakikisha kila mchezo unafanyika kwa kiwango cha juu na unatoa nafasi kwa vijana kuonesha vipaji vyao mbele ya wadau wakubwa.