Dira Yetu
- Kuhakikisha maandalizi ya mapema yanaanza ili kuweza kufikia lengo la Taifa Stars kufanya vizuri katika michuano ya AFCON 2027 haswa ukizingatia michuano hiyo itachezwa katika ardhi ya nyumbani Tanzania.
- Kutoa elimu kwa jamii ya watanzania na wenzetu Kenya na Uganda ambao sote kwa pamoja ni wanachama wa jumuhia ya Afrika Mashariki.Juu ya fursa mbalimbali za kiuchumi zinazopatikana kupitia michuano hiyo mikubwa ya bara la Afrika.
- Kuiunga mkono serikali katika jitihada zote za kukuza sekta ya utalii nchini,kupitia sekta ya michezo.
- Kushiriki kuielimisha jamii juu ya faida za mazoezi na michezo kiafya.
- Kusaidia jitihada za serikali kupunguza uhalifu nchini,hasa has uhalifu wa kijinai,na kuleta utulivu kwa jamii kupitia michezo.
- Kushirikiana na taasisi/ asasi za serikali na taasisi nyingine za binafsi zenye mlengo chanya kwa jamii ya watanzania; kwa kutoa elimu na namna nyingine yoyote ya kukuza ustawi wa watu kijamii na kiuchumi.
- Kushirikiana na TFF,Vyama /asasi za michezo nchi nzima kuandaa na kuratibu shughuli za michezo katika mikoa na wilaya nchini.Hii ni sekta muhimu kwa sasa duniani kwani inasaidia tatizo la ajira kwa vijana.
- Kushiriki katika kupunguza migogoro katika jamii inayotokana na misongo ya mawazo na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na ulevi wa kupindukia.
- Kuwaleta vijana pamoja kupitia michezo na matamasha mbalimbali,semina na mafunzo ya ujasiriamali ilikuwawezesha kujikwamua kiuchumi.
- Kuratibu na kuendeleza majukwaa mbalimbali ya kukuza vipawa vya vijana walivyokirimiwa na Mwenyezi Mungu, kupitia Sanaa ya michezo.
- Kushirikiana na mamlaka mbalimbali katika mkoa wa Arusha ambao ndio makao makuu ya jumuhia ya Afrika mashariki (EAC) kuhakikisha tunapata timu za ligi kuu na uwakilishi wan chi kimataifa.
- Kuimarisha michezo mashuleni(msingi na sekondari) na vyuoni, ili kuendelea kuibua vipaji.Na kuwepo na Akademi za mipira nchini ili kuwe na uhakika wakupata wachezaji bora kwa ligi zetu za ndani na kimataifa.Hivyo timu yetu ya taifa iweze kufikia kucheza word cup (FIFA WORD CUP) hapo baadae.
Wafanyakazi Wetu
Tunashauku juu ya Michezo
Testimonials
Some feedback from our clients
Description for this block. Use this space for describing your block. Any text will do. Description for this block. You can use this space for describing your block.
This is awesome
— Sara Parker
Description for this block. Use this space for describing your block. Any text will do. Description for this block. You can use this space for describing your block.
Amazing Experience
— Joe Guerrero